KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI YATEMBELEA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA TUME YA MADINI MAKAO MAKUU JIJINI DODOMA
Ujenzi wake wafikia asilimia 87.5 Yamtaka Mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, leo Machi 19, 2024 ikiongozwa na Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali imefanya ziara kwenye mradi wa ujenzi wa Jengo la Tume ya Madini …