TUME YA MADINI

Taifa logo iliiyopitishwa

CONTACT US | FAQs | STAFF MAIL | ENGLISH / SWAHILI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF MINERALS

 THE MINING COMMISSION

WANAWAKE TUME YA MADINI MAKAO MAKUU, OFISI ZA MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA WASHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Leo tarehe 08 Machi, 2024 wanawake kutoka Tume ya Madini Makao Makuu pamoja na Ofisi za Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa, wameungana na wanawake wengine duniani kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani.

Kaulimbiu ya siku ya wanawake kwa mwaka huu ni “Wekeza Kwa Wanawake Kuharakisha Maendeleo Ya Taifa na Ustawi wa Jamii

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top