TUME YA MADINI

Taifa logo iliiyopitishwa

CONTACT US | FAQs | STAFF MAIL | ENGLISH / SWAHILI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF MINERALS

 THE MINING COMMISSION

madini

TUME YA MADINI YAENDELEA KUTOA ELIMU KUHUSU USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI CHUO CHA MIPANGO

Wadau wa elimu washauriwa kushirikiana na vyuo vya nje kwenye teknolojia katika Sekta ya Madini Wahadhiri wabaini  fursa hasa kwenye eneo la wajibu wa kampuni za madini  kwa jamii (CSR)  Dodoma – Ikiwa ni moja ya mikakati ya kuhakikisha wadau wanabaini fursa za uwekezaji katika Sekta ya Madini na kushiriki, Tume ya Madini kupitia Kurugenzi …

TUME YA MADINI YAENDELEA KUTOA ELIMU KUHUSU USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI CHUO CHA MIPANGO Read More »

CHUO CHA IFM DODOMA WAPEWA ELIMU KUHUSU USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI

Wadau wa elimu wapongeza Tume ya Madini na kuomba elimu kuendelea kutolewa katika Taasisi nyingine za elimu   Dodoma – Tume ya Madini kupitia Kurugenzi ya Ukaguzi na Biashara ya Madini leo Machi 06, 2024 imeendesha mafunzo kwa wahadhiri na wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) Tawi la Dodoma kuhusu ushirikishwaji wa watanzania …

CHUO CHA IFM DODOMA WAPEWA ELIMU KUHUSU USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI Read More »

WANAWAKE TUME YA MADINI WAPIGWA MSASA KUHUSU NAFASI YA TEKNOLOJIA KATIKA MALEZI YA WATOTO

Katika kuelekea kilele cha siku ya wanawake duniani, leo Machi 05, 2024 wanawake kutoka Tume ya Madini Makao Makuu na Ofisi ya Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Dodoma wamepewa mafunzo kuhusu nafasi ya teknolojia katika malezi ya watoto yaliyofanyika jijini Dodoma. Mafunzo hayo yaliyotolewa na Daktari wa Afya ya Akili kutoka Hospitali ya Mirembe …

WANAWAKE TUME YA MADINI WAPIGWA MSASA KUHUSU NAFASI YA TEKNOLOJIA KATIKA MALEZI YA WATOTO Read More »

WAZIRI MAVUNDE AWATAKA MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA KUONGEZA KASI UKUSANYAJI WA MADUHULI

Mwanza   Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amewataka maafisa madini wakazi wa mikoa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa maduhuli ili kufikia lengo lililowekwa na Serikali la kukusanya shilingi bilioni 882 katika kipindi cha mwaka wa fedha 2023/2024 Waziri Mavunde aliyasema hayo Januari 06, 2024 jijini Mwanza kwenye kikao chake na Menejimenti ya Tume ya …

WAZIRI MAVUNDE AWATAKA MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA KUONGEZA KASI UKUSANYAJI WA MADUHULI Read More »

WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MAMBO MUHIMU KUFIKIA MALENGO

Katika Kuongeza Ushiriki wa Watanzania kwenye Uchumi wa Madini;   Mwanza Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Madini imedhamiria  kuweka mikakati  ya kuongeza ushiriki wa  watanzania katika shughuli za madini  ikiwa ni pamoja na kuongeza idadi ya watanzania wanaotoa huduma na usambazaji wa bidhaa migodini sambamba na kufungamanisha Sekta …

WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MAMBO MUHIMU KUFIKIA MALENGO Read More »

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MADINI AKUTANA NA MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA

Awataka kuongeza kasi katika ukusanyaji wa maduhuli, kutatua migogoro kwenye maeneo yenye uchimbaji wa madini, kudhibiti utoroshaji wa madini na kuongeza ubunifu kwenye utendaji kazi. Dodoma Desemba 13, 2023 Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini, Kheri Mahimbali amewataka maafisa madini wakazi wa mikoa nchini kuongeza kasi ya ukusanyaji wa maduhuli, kutatua migogoro kwenye shughuli za …

KATIBU MKUU WA WIZARA YA MADINI AKUTANA NA MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA Read More »

MASOKO YA MADINI YAONGEZA KASI YA MAPATO SERIKALINI

Yaingiza Shilingi bilioni 47.68 katika kipindi cha Julai – Septemba, 2023 Mikakati mipya ya udhibiti wa utoroshaji wa madini yaainishwa Dodoma Novemba 17, 2023 Ili kuhakikisha kuwa Sekta ya Madini inakuwa na mchango mkubwa kwenye ukuaji wa uchumi wa nchi na wananchi kunufaika na rasilimali za madini, Serikali kupitia Tume ya Madini mapema Mei, 2019 …

MASOKO YA MADINI YAONGEZA KASI YA MAPATO SERIKALINI Read More »

WANAWAKE NA MADINI

SERIKALI YAWATAKA WANAWAKE NJOMBE KUCHANGAMKIA FURSA ZA UCHIMBAJI MADINI Na Mwandishi Wetu, Njombe Kufuatia mkoa wa Njombe kuwa na hazina kubwa ya aina mbalimbali za madini, Serikali imewataka wachimbaji wadogo wa madini wanawake mkoani Njombe kuchangamkia fursa za uchimbaji wa madini ili waweze kujikwamua kiuchumi pamoja na familia zao. Rai hiyo imetolewa leo mkoani Njombe …

WANAWAKE NA MADINI Read More »

TUME YA MADINI YAJA NA MIKAKATI MIPYA YA UKUSANYAJI WA MADUHULI

Yapitisha maombi mapya 7596 ya leseni za madini kuanzia Julai hadi Septemba, 2023 Mhandisi Samamba awataka watanzania wengi kuwekeza kwenye Sekta ya Madini Ili kuhakikisha kuwa Sekta ya Madini inakuwa na mchango mkubwa kwenye ukuaji wa uchumi wa nchi, juhudi mbalimbali zimekuwa zikifanywa na Serikali ikiwa ni pamoja na kufanya Marekebisho ya Sheria ya Madini …

TUME YA MADINI YAJA NA MIKAKATI MIPYA YA UKUSANYAJI WA MADUHULI Read More »

Scroll to Top