TUME YA MADINI

Taifa logo iliiyopitishwa

CONTACT US | FAQs | STAFF MAIL | ENGLISH / SWAHILI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF MINERALS

 THE MINING COMMISSION

WIKI YA MADINI NA FEMATA 2024


Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ambaye ni mgeni rasmi katika Ufunguzi wa Kongamano la Madini ametembelea mabanda ya Maonesho ya Madini na vifaa vya uchimbaji yanayokwenda sambamba na Kongamano hilo baada ya kupokelewa na viongozi wa Mkoa wa Dodoma, Wizara na FEMATA.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top