News
-
01
Dec
2023TUME YA MADINI YAJIVUNIA MAFANIKIO MAKUBWA
Asilimia 86 ya kampuni za wazawa zinatoa huduma na bidhaa migodini huku asilimia 14 zikitolewa na kampuni za nje ya nchi kupitia kibali maalum kinachotolewa na Tume ya Madini Read More
-
10
Nov
2023TUME YA MADINI YAAINISHA MIKAKATI YAKE
Wachimbaji wadogo wa madini zaidi ya milioni 1.5 kuendelea kunufaika Read More
-
26
Oct
2023WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA TUME YA MADINI KWENYE MAONESHO YA MADINI
Leo Oktoba 26, 2023 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea banda la Tume ya Madini kwenye maonesho katika Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini unaotarajiwa kufungwa rasmi. Read More
-
26
Sep
2023WAZIRI MAVUNDE AWATAKA MAAFISA MADINI WAKAZI WA MIKOA KUIMARISHA UDHIBITI WA UTOROSHAJI WA MADINI
Aainisha mikakati ya utekelezaji wa Dira ya Madini ya Mwaka 2030 Read More
-
11
Sep
2023WAZIRI MAVUNDE ATOA MWELEKEO MPYA SEKTA YA MADINI
Aainisha dira ya “madini ni maisha na utajiri ya mwaka 2030” Read More
-
05
Sep
2023DKT. BITEKO AKABIDHI OFISI YA WIZARA YA MADINI KWA MAVUNDE
Mhe. Mavunde aainishiwa Vipaumbele vya Wizara ya Madini 2023/24 Read More