TUME YA MADINI

Taifa logo iliiyopitishwa

CONTACT US | FAQs | STAFF MAIL | ENGLISH / SWAHILI

THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

MINISTRY OF MINERALS

 THE MINING COMMISSION

JUKWAA LA TATU LA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI LINAENDELEA JIJINI ARUSHA

Wizara ya Madini kupitia Tume ya Madini imeendelea na uratibu wa Jukwaa la Tatu la Ushirikishwaji wa Watanzania katika Sekta ya Madini jijini Arusha.

Jukwaa hilo lililofunguliwa na Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde mapema jana linakutanisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na wamiliki wa leseni za madini, watoa huduma kwa wamiliki wa leseni za madini, Taasisi za Fedha na Taasisi za Serikali.

The Ministry of Minerals, through the Mining Commission, continued coordinating the Third Local Content Compliance Forum in the Mining Sector in Arusha.

The forum, opened by the Minister of Minerals, Hon. Anthony Mavunde, yesterday, is bringing together various stakeholders, including mining license holders, service providers for mining license holders, financial institutions, and government institutions.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top